for more news about this heavy duty MC keep digging on http://kingbida.blogspot.com/
Wednesday, 14 July 2010
Mna Nisikia?
Sunday, 11 July 2010
KamiKaze Album 2010
Yes kamakazi album imeiva na ipo ready kupakuliwa.. get ready kwa mikito ya gheto..
Baada ya kusota sana katika game hili la kufoka foka , mbali ya kuwa mwanamziki huyu amekuwa kama kioo cha mafanikio cha mafanikio ya wanamziki wengi watokao Eastafrica, King bida ndani ya muda mfupi sana ameweza kufanya kazi ambayo ni ngumu sana kwa solo arts kuifanya. hata international artist wengi huishia kuepua album chini yanyimbo nane au hata sita, mbali yakuwa , instrumental wanatengenezewa na mtu mwingine, cd cover na mtu mwingine , mistari waandikiwe na mtu mwingine, sauti yakuimba hata jinsi ya kucheza etc wapate kwa mtu mwingine, usisahau website arts na publishing wapate kutoka kwa mtu mwingine.. ila hivi vyote kwa kingbida ni nop.. anafanya a-z mwenyewe nandio kinacho mpa umati wa mashabiki, na kazi zake kuzidi kudumbukia kwenye hisia za watu wa aina mbali mbali kote duniani
kwa hapo juu ni dondoo tu za kutokea KC productionz, pati gazeti ya album
KingBida mwenyewe akiwa kwenye mishemishe za ki African HipHop
Kinacho mata ni ujumbe wako unapokelewa na baadhi ya wanajamii. je hilo ndilo lililokuwa lengo lako.
kama unapenda udaku wa mambo flani flani ya ngono na mahaba bofya hapa.welcome to Kingbida net work
http://changudoa.blogspot.com/
Subscribe to:
Posts (Atom)
