Sunday, 11 July 2010

KamiKaze Album 2010

Yes kamakazi album imeiva na ipo ready kupakuliwa.. get ready kwa mikito ya gheto..

  
Baada ya kusota sana katika game hili la kufoka foka , mbali ya kuwa  mwanamziki huyu amekuwa kama kioo cha mafanikio cha mafanikio ya wanamziki wengi watokao Eastafrica, King bida ndani ya muda mfupi sana ameweza kufanya kazi ambayo ni ngumu sana kwa solo arts kuifanya. hata international artist wengi huishia kuepua album chini yanyimbo nane au hata sita, mbali yakuwa , instrumental wanatengenezewa na mtu mwingine, cd cover na mtu mwingine , mistari waandikiwe na mtu mwingine, sauti yakuimba hata jinsi ya kucheza etc wapate kwa mtu mwingine, usisahau website arts na publishing wapate kutoka kwa mtu mwingine.. ila hivi vyote kwa kingbida ni nop.. anafanya a-z mwenyewe nandio kinacho mpa umati wa mashabiki, na kazi zake kuzidi kudumbukia kwenye hisia za watu wa aina mbali mbali kote duniani


kwa hapo juu ni dondoo tu za kutokea KC productionz, pati gazeti ya album






KingBida mwenyewe akiwa kwenye mishemishe za ki African HipHop

From KwaChini Productionz ,KingBida anaepua, Album yenye nyimbo 16 na bonus kibao juu, usikose huu uhondo wa hiphop ilivyo chezewa kama never before.African rap sikuzote ilikua iko mbele ila media ndio bado zinabana. Unajua mtu mpaka ujitoe muhanga ile sana. mpaka sometime unakonda, inabidi uiage familia kwa muda ili uweze kuweka fani kwenye mstari..Iwe ni kwa style yeyote ile iwe Bongo fleva au mduara.

Kinacho mata ni ujumbe wako unapokelewa na baadhi ya wanajamii. je hilo ndilo lililokuwa lengo lako.


kama unapenda udaku wa mambo flani flani ya ngono na mahaba bofya hapa.welcome to Kingbida net work
http://changudoa.blogspot.com/

No comments: