Wednesday, 14 July 2010

Mna Nisikia?

Mna Nisikia track imeingia kwa kishindo ndani ya kamakazi album kwa kuifanikisha project ya kamikaze kama anavyo dai Bida mwenyewe anasema kuwa alifurahi sna kupewa nafasi yakuwa ni MC wa pekee kuruhusiwa kuinglilia project ya jcb na kufanya track.. Hivyo bida alipewa mwaliko na JCB kwa kukabiziwa mchapakazi Daz, bida bila kujivunga alitupatupa hisia zake na kulipua Mnanisikia , track ambayo ina msisimko wa kumpa mwana hiphop yeyote feeling za kiuhakika.. kwenye track hii kingbida amejaribu kusamaraiz his journey a-z kwenye gam nakuwapa uhakika mashabiki zake kuwa kuanzia sasa yupo mbele yao kila siku kila saaa kila sekunde na kila dakika teari kukabiliana na shida zao..

 for more news about this heavy duty MC keep digging on http://kingbida.blogspot.com/

No comments: