Sunday, 8 January 2017

Bidder - Wanamuziki wa ki-Africa kuimba kwenye vilabu vya mbege majuu

Bidder - Underground Rapper anae ishi na kufanyia shughuli zake za ki muziki nchini Uingereza awaasa wanamuziki wakitanzania wanao kwenda kufanya show zao majuu kuwa makini, la sivyo wataishia kuimba kwenye vilabu vya mbege .
King Bida awaasa wanamuziki wa kiafrica especially Tanzanian bongo flever to be makini inapokuja na kualikwa kufanya show majuu, Bidder explain the conditions of stage and mazingira wanayo kwenda ku pafom, kuwa hayana uzito na na heshima kama wanamuziki wenyewe walivyo, alisisitiza kuwa , wasanii hualikwa kwenye kumbi ambazo alizi describe kama ‘ Vilabu vya mbege’ Bidder alisisitiza kuwa tokea 2005 ameshuhudia wanamuziki kama Juma necha and alikiba wakija na kupaerform kwnye vilabu visivyo na wadhifa wao.. ameonya  wasanii kuwa waangalifu ijapo kwenye wito wa ku perfom iwe Uingereza na ulaya kwa ujumla au iwe Canada na America.

Wasanii msikimbilie tu kuparamia pipa na kujikuta mnaimbia watu chini ya 300,. Bidder ambaye anasikilizia soko la mziki liwe
la kueleweka kabla ya kushusha album zake 4 za real African hip-hop hivi  karibuni..