Bidder - Underground Rapper anae ishi na kufanyia shughuli
zake za ki muziki nchini Uingereza awaasa wanamuziki wakitanzania wanao kwenda
kufanya show zao majuu kuwa makini, la sivyo wataishia kuimba kwenye vilabu vya
mbege .
King Bida awaasa wanamuziki wa kiafrica especially Tanzanian
bongo flever to be makini inapokuja na kualikwa kufanya show majuu, Bidder
explain the conditions of stage and mazingira wanayo kwenda ku pafom, kuwa
hayana uzito na na heshima kama wanamuziki wenyewe walivyo, alisisitiza kuwa ,
wasanii hualikwa kwenye kumbi ambazo alizi describe kama ‘ Vilabu vya mbege’
Bidder alisisitiza kuwa tokea 2005 ameshuhudia wanamuziki kama Juma necha and
alikiba wakija na kupaerform kwnye vilabu visivyo na wadhifa wao.. ameonya wasanii kuwa waangalifu ijapo kwenye wito wa
ku perfom iwe Uingereza na ulaya kwa ujumla au iwe Canada na America.
Wasanii msikimbilie tu kuparamia pipa na kujikuta mnaimbia
watu chini ya 300,. Bidder ambaye anasikilizia soko la mziki liwe
la kueleweka
kabla ya kushusha album zake 4 za real African hip-hop hivi karibuni..
No comments:
Post a Comment